Eneo la Keko Magereza #TPS SACCOS

Tanzania Prisons Staff Saccos

TPS SACCOS LTD imejengeka katika mwenendo wa ushirika wa akiba na mikopo kwa watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara, umejengeka katika maadili ya kusaidia, kuwajibika,demokrasia, usawa na haki ,Wanachama wanaamini katika maadili ya ukweli ,uwazi,uaminifu,uwajibikaji kijamii na kusaidia wengine.

Malengo yanayokusudiwa na chama ni kuinua na kuendeleza wanachachama wake kwa kutoa huduma za kifedha na bidhaa mbalimbali katika mazingira ya kiushindani. Pia kuwawezesha wanachama kuondoa umaskini, kuheshimika na kutambulika chini ya misingi ya ushirika na kibiashara.